Uwanja wa michezo wa Osman Ahmed Osman

Uwanja wa michezo wa Osman Ahmed Osman

Uwanja wa michezo wa Osman Ahmed Osman pia unajulikana kama Uwanja wa Makandarasi wa Kiarabu au Uwanja wa Al-Mokawloon al-Arab ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi lakini hutumika zaidi kwa mechi na Chama cha mpira wa miguu huko Nasr City, Cairo nchini [Misri]], ambao una uwezo wa kubeba watu 35,000. Ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Al Mokawloon Al Arab SC , na ulifanya kama uwanja wa nyumbani kwa vilabu tofauti huko Misri kama vile FC Masr na Misr Lel Makkasa SC.


Uwanja huu hapo awali ulitumika Kuandaa mechi kadhaa zinazohusisha Timu ya kitaifa ya mpira wa miguu ya Misri kati ya mwaka 2004 na mwaka 2011, na pia uliandaa mchezo wa pili wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF mwaka 2013 kati ya Al Ahly na Orlando Pirates FC.


Developed by StudentB